Isaiah 17:14

14 aWakati wa jioni, hofu ya ghafula!
Kabla ya asubuhi, wametoweka!
Hili ndilo fungu la wale wanaotupora,
fungu la wale wanaotunyangʼanya mali zetu.
Copyright information for SwhNEN